Programu ya Google TV ni sehemu yako mpya ya burudani

Kuanzia Septemba 2022, programu ya Google TV itakua sehemu yako ya kununua, kukodi na kuangalia filamu na vipindi kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta kibao ya Android. Kwenye programu ya Google Play, kipengele cha Filamu na TV hakitapatikana tena.
Ununuzi wako utaenda wapi?
Maudhui yako uliyonunua yataendelea kupatikana kwenye programu ya Google TV. Bado unaweza kutumia Salio la Google Play na kadi za zawadi za Google Play kwenye programu ya Google TV na kujipatia Pointi za Google Play (ambapo vipengele hivyo vinapatikana). Ununuzi wako utaendelea kupatikana kwa ajili ya kushiriki na familia.
Je, ni wapi unaweza kununua vipindi na filamu?
Unaweza kununua vipindi na filamu kwenye programu ya Google TV kama tu kwenye Duka la Google Play.
Google TV ni nini?
Programu ya Google TV inakusaidia kuvinjari filamu na vipindi kutoka kwenye programu za kutiririsha unazozipenda zote katika sehemu moja na ugundue filamu na vipindi vipya vya kutazama pamoja na mapendekezo kulingana na kile unachopenda.
Anza kutumia Google TV
Google TV
Google LLC
Ununuzi wa ndani ya programu
3.9
Maoni 2.51M
5B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Vijana
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini