Kuhusu kipindi hiki

Tinga Tinga Tales ni mfululizo wa ngano za Kiafrika katika runinga zinazowalenga watoto kati ya miaka 4 na 6.