Kuhusu kipindi hiki

Squid Game ni mfululizo wa filamu za televisheni wa Korea Kusini ambayo imeundwa na Hwang Dong-hyuk.
Squid Game ilionekana kwa mara ya kwanza mnamo 17 Septemba 2021 kwenye Netflix.