Kuhusu kipindi hiki

Time Trax ni mfululizo wa vipindi vya televisheni uliokuwa unarushwa hewani na Prime Time Entertainment Network ya Amerika/Australia. Ilikuwa filamu ya ushirika yaani makampuni mawili, moja kutoka Marekani na lingine kutoka Australia, wakatengeneza filamu hiyo ya kisayansi na kuanza kurushwa hewani tangu mnamo mwaka 1993. Filamu inamzungumzia ofisa mmoja wa polisi aliyeutumwa kwenda kuwakamata wahalifu waliokuwa wamefungwa jela kisha wakatoroka. Filamu hii ndio ilikuwa ya mwanzo na ya mwisho kwa mataarisho ya televisheni ya Lorimar.