AHADI ni suluhu ya jumla ya afya ya akili ya kidijitali ambayo inashughulikia hitaji kubwa la huduma na usaidizi wa afya ya akili unaofikiwa na usio na unyanyapaa. Tunawaunganisha Watanzania na wataalamu wa saikolojia na zana za kukuza ustawi wa akili.
Katika AHADI, tunawawezesha Watanzania kupata huduma za afya ya akili wanazohitaji, wakati na mahali wanapozihitaji, bila kuwa na matatizo ya kijamii, kiutamaduni, kijiografia na kiuchumi.
Athari inayotarajiwa ya AHADI ni kulea kizazi cha Kitanzania chenye afya ya akili na ustahimilivu ili kufikia malengo ya maendeleo endelevu yanayoondoa umaskini.
Ilisasishwa tarehe
3 Jun 2024