App yetu inatoa mafunzo ya Kilimo katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia za kilimo, Mapishi, Ufugaji na Sanaa.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Sitio web yu www.kilimobiashara.org.
Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (aplicación en el sitio web) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasilane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Correo electrónico: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
**************************************************** ***************
Soluciones Android
Diseñada por;
Soluciones Mshindo para Android
Wangingombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
Correo electrónico: agrotanzania.care@gmail.com
Última actualización
16 mar 2024