Nyimbo za Tenzi za Rohoni

Contiene anuncios
1 K+
Descargas
Calificación del contenido
Apto para todo público
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla
Imagen de la captura de pantalla

Acerca de esta app

Kaa karibu na uwepo wa Mungu kwa kusifu na kuabudu kupitia nyimbo zilizopo katika kitabu cha Tenzi za rohoni kupitia aplicación hola.

Tenzi za Rohoni ni App ambayo ni rasilimali muhimu kwa waumini wa Kikristo wanaotumia lugha ya Kiswahili, ikirahisisha upatikanaji wa nyimbo za injili mahali popote na wakati wowote.

"Tenzi za Rohoni" ni programu ya simu ambayo imeundwa kwa lengo la kusaidia watu kusoma na kushiriki nyimbo za Kikristo za Kiswahili, maarufu kama "tenzi". Aplicación hii inakuja na maktaba kubwa ya nyimbo 161 za injili ambazo zinaweza kusikilizwa au kusomwa kwa kusudi la ibada, mafundisho, au kuabudu.

Karibu uabudu nasi kupitia programu ya Tenzi za rohoni kila wakati hata bila kuwa na Mb, ipakua sasa ili uanze kuitumia pia usisahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki waipakue.
Actualización
14 jun 2024

Seguridad de los datos

El primer paso de la seguridad es comprender cómo los desarrolladores recopilan y comparten tus datos. Las prácticas de privacidad y seguridad de datos pueden variar en función del uso de la app, la región y la edad. El desarrollador proporcionó esta información y podría actualizarla con el tiempo.
No se comparten datos con terceros
Más información sobre cómo los desarrolladores declaran el uso compartido
No se recopilan datos
Más información sobre cómo los desarrolladores declaran la recopilación
Los datos están encriptados en tránsito
No se pueden borrar los datos