10 tuh+
Allalaadimised
Sisu reiting
Kõik
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt
Ekraanipilt

Rakenduse teave

Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi ili iwe rahisi kufikia malengo na mipango yako.

BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.

Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma wetu na pia tunazingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.

FUATILIA MALIPO YAKO

Tunzaa inakupa uwezo wa kufuatilia kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile kununua vifaa vya nyumbani, vifaa vya umeme & mtindo na mavazi au safari.

JIPIMIE

Kuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Tunzaa.

TAFUTA

Urahisi wa kutafuta bidhaa yoyote kwa haraka.

UJUMBE

Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.

MALENGO

Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.

MATUMIZI

Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.

ZAWADI

Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.
Värskendatud:
31. juuli 2024

Andmete ohutus

Ohutus algab sellest, et mõistaksite, kuidas arendajad teie andmeid koguvad ja jagavad. Andmete privaatsuse ja turvalisuse tavad võivad olenevalt kasutamisest, piirkonnast ja vanusest erineda. Selle teabe esitas arendaja ja seda võidakse aja jooksul värskendada.
Kolmandate osapooltega ei jagata andmeid
Lisateave selle kohta, kuidas arendajad andmete jagamisest teada annavad
See rakendus võib koguda neid andmetüüpe
Asukoht
Andmed on edastamisel krüpteeritud
Saate taotleda nende andmete kustutamist

Mis on uut?

Tunayo furaha kubwa kutangaza toleo jipya la Tunzaa App, lililoboreshwa ili kukupa uzoefu bora zaidi. Hivi ndivyo unavyoweza kutarajia:
- Kipengele cha Ongeza Kwenye Kikapu
- Ujumuishaji wa Moja kwa Moja wa Vodacom M-Pesa
- Uboreshaji wa Upakiaji wa Picha

Furahia Maboresho Mapya.

Rakenduse tugi

Telefoninumber
+255673755217
Teave arendaja kohta
TUNZAA DIGITAL HOLDINGS LIMITED
james.m@tunzaa.co.tz
Plot No. 1577, Block No. 149, Mikadi Road Kigamboni 17107 Tanzania
+255 742 892 731

Rohkem arendajalt Tunzaa Fintech Inc.