ILANI: programu hii inatoa Streaming kusikiliza moja kwa moja kutoka server yetu. Kama wewe milele uzoefu usumbufu katika redio Streaming au download, tafadhali jaribu tena baadaye au siku nyingine. Ingawa hii ni nadra, inawezekana kwamba server inaweza kuwa chini ya matengenezo na nje ya mkondo kwa mara. Daima jaribu tena. Asante.
BIBLIA TAKATIFU ina nia ya Mungu, hali ya mwanadamu, njia ya wokovu, adhabu ya wenye dhambi na furaha ya waumini. Maadili yake ni matakatifu, mafundisho yake yafunga, historia zake ni kweli na maamuzi yake yasiyobadilika.
Sasa unaweza kusoma na kusikiliza Biblia kwa simu yako kupitia tovuti hii maalum iliyowekwa pamoja na Konstantinos Bezanis na timu ya WordProject.
Tovuti hii maalum inatoa Biblia takatifu (Nakala na Kuisikiliza) kwa lugha zisizopungua 36 zinazozungumzwa kwa wingi ulimwenguni kote; Kichina, Kihindi, Kiingereza, Kiarabu, Kireno, Kihispania, Kifaransa, Kiindonesia, Kirusi, Kijapani, Kikorea, Kiitaliano, Kijerumani, kiswahili, Kituruki, Kivietinamu, Kiabeshi, Kithai, Kiajemi,Kiurdu, Kibengali, Kigurati, Kikanada, Kimalayalam, Kioriya, Kipunjabi, Kimarathi, Kitelugu, Kitamili, Kisarbia, Kicheki, Kipolandi, Kiromenia, na Kisomali. Tovuti hii maalum inatoa masimulizi ya kusikiliza na si toleo la kuigiza.
Tovuti hii maalum inakuja awali kwa lugha ya Kiingerezana lugha zote zengine zinaweza kufungwa moja kwa moja kiurahisi kwa mbonyezo mmoja, kulingana na mahitaji ya mtumizi.
Nakala katika lugha yeyote huchukua sekunde 30 au chache kushusha na hufungwa moja kwa moja, unachohitaji ni chombo chako kuunganishwa kupitia Wi-Fi - DATA. Sura za kusikiliza zinaweza kusikizwa moja kwa moja kwa mtandao, katika lugha yeyote ukiunganishwa kwa Wi-Fi - DATA, ama unaweza kuishusha kwa chombo chako kwa matumizi wakati wowote iwapo hujaunganishwa kwa mtandao, mahali popote.
Kushusha kwa masimulizi kunapatikana kitabu kwa kitabu, kumaanisha, iwapo una nafasi chache, unaweza kushusha kitabu (k.v. Mwanzo), ukitumie kwa muda kisha ufute na ushushe kipya. Hii inawezekana katika lugha yeyote kati ya zile 36 zinazopatikana kwa nakala na masimulizi.
Iwapo una nafasi ya kutosha katika chombo chako, basi unaweza kushusha Biblia yote ya kusikiliza, ukipendelea.
Makusudi ya tovuti hii maalum ni kufanya Neno la Mungu-Biblia- ipatikane kwa watu wengi iwezekanavyo, kwa hiyo lugha zaidi zitaweza kupatikana kwa matoleo yajayo.
kwa Biblia zaidi za Nakala na Simulizi, waweza kwenda kwa tovuti awali ya: http://www.wordproject.org
Ilisasishwa tarehe
26 Ago 2023