Ungependa kujua lugha ya kiingereza kwa urahisi na haraka?
Ungependa kusoma kiingereza kuanzia mwanzo ikiwa ni bure?
Programu yetu infaa wanao taka kuongea na kuzungumza kiingereza kwa haraka na bure.
- Jifunze kiingereza kwa njia ya urahisi na furaha kupitia picha na michezo. Jifunze na ucheze.
- Kujifunza kiingereza cha msingi kwa kila mtu!
- Jifunze maneno ya kiinhereza - soma msamiati wa kiingereza.
- Jifunze kusoma, kuandika na kuongea kiingereza.
- Masomo na mazoezi ya kufanya (kusikiliza, kusoma, kuandika na kuongea)
- Matamshi ya kiamerika kutoka marekani!0
- Maneno yote ya kiingereza yenye tafsiri na picha.
- Unaweza chagua katika hizi mada muhimu msamiati utakayo jifunza.
- Programu ya kujifunza kiingereza bure bila mtandao.
Jifunze kiingereza kwa furaha na njia inayofaa. Anza kujifunza kiingereza sasa!
Kujifunza Kiingereza kwa Wanaoanza
Jifunze kiingereza kutoka mwanzo
Ilisasishwa tarehe
16 Jul 2025