4.5
Maoni elfu 1.37
elfu 100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

ILI KUTUMIA hii programu, ni LAZIMA kusakinisha programu ya HANDWALLET EXPENSE MANAGER kwanza -
Programu isiyolipishwa inayokusaidia kudhibiti gharama yako , akaunti, bili na bajeti.

" Uhasibu " ni program isiyolipishwa inayokuwezesha kuona baki kwa akaunti yako mizani ukitumiana programu ya HandWallet kwenye homescreen ya simu.

Tazama video hii ili upate maelekezo jisni utakavyo sakinisha program hii:
http://www.youtube.com/watch?v=4lMHyKFl5zo

Kutokana na SHIDA KATIKA ANDROID OS wakati mwingine, unahitaji kusanikisha widget (sio kwa hii pekee) mara mbili kabla ya kuona katika orodha widget ( au sanikisha kasha uzime na uwashe kifaa chako ). Kama una tatizo katika kusanikisha widget hii, tafadhali wasilianana support@handwallet.com ili upate usaidizi.

• hailipishwi
• Hounyesha fedha iliyosalia katika akaunti yako ya benki
• Huonyesha pesa uliotoa zaidi ya yenye inapatikana kwa benki kwa rangi nyekundu

Chaguzi:
• Inaweza kudhibiti sarafu ya grafu( Dola , Euro nk)
• inaweza kudhibiti tarehe ( leo, kesho, wiki (kuanzia leo) na kadhalika) .
• Dhibiti akaunti gani utakayoonyeshwa: akaunti ya benki , kadi ya mikopo , fedha na zaidi ..
• ukubwa wa herufi , rangi, picha ya nyuma na tarehe itakavyopangwa

• inatumia sarafu mbalimbali
• Weka gharama mpya kwa mguso moja tu.
• Anzisha programu HandWallet kwa mguso moja tu
• Kulingana na uhasibu wa kitaalamu/ Kanuni za kuweka hati: sigle entry account na double entry account

Kwa nini Accounting Widget ni bora kuliko Excel?
• Kwa sababu ni rahisi zaidi na bado ina chaguzi zaidi
• Kwa sababu itakupa picha kamili na si tu benki au hali ya kadi

Kwa nini kutumia Uhasibu Widget ?
Kwa sababu ni Expense widget bora zaidi. Na kwa sababu sisi tumetengeneza Expense manager kwa miaka 10 na tunajua nini hasa watu wengi wanataka kusimamia gharama lakini wachache tu hufanikiwa.

Jinsi ya kusanikisha ?
1. Shusha HandWallet kutoka kwa matndao bila malipo na kisha uanzishe. Hakikisha kwamba lugha yako, nchi na fedha ni sahihi. HandWallet itafafanua akaunti tatu moja kwa moja: fedha, akaunti ya benki na kadi ya mikopo.

2. Shusha na usanikishe" Widget" . Kisha tafuta mahali utakapoweka katika homescreen. IKIWA HAUIONI SANIKISHA TENA AU UZIME SIMU KISHA UWASHE.
3. BONYEZA " Menu " + "new" kwa "actions " kisha uingize gharama yako ya kwanza.

Jinsi ya kudhibiti bajeti?
Bonyeza "data" kisha “categories. Chagua kikundi kifaacho, kwa mfano “car expense (gharama ya gari) ". bonyeza” advanced" na uchague aina ya bajeti: bajeti fasta, muhtasari wa bajeti na kadhalika. Unaweza kufafanua bajeti tofauti kwa kila kipindi .
Ilisasishwa tarehe
11 Des 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data

Ukadiriaji na maoni

4.5
Maoni elfu 1.24