🚀 Vipengele
* Akaunti nyingi 👥
* Inafanya kazi nje ya mkondo 🔌
* Simamia kadi, orodha na bodi 📝
* Dhibiti vitambulisho 🏷
* Inasaidia viambatisho 📎, shughuli ⚡ na maoni 💬
* Modi ya giza 🌙
* Ilitafsiriwa katika lugha nyingi 🌎
🔗 Mahitaji
* Nextcloud (https://nextcloud.com/)
* Programu ya Nextcloud Deck (https://apps.nextcloud.com/apps/deck)
* Programu ya Nextcloud Android (https://play.google.com/store/apps/details?id=com.nextcloud.client)
🐞 Kituo cha Beta
* https://play.google.com/apps/testing/it.niedermann.nextcloud.deck.play
Kuchangia
* https://github.com/stefan-niedermann/nextcloud-deck#-join-the-team
Ilisasishwa tarehe
12 Jan 2025