4.7
Maoni elfu 13.1
elfu 500+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

The Table ni mkusanyiko mkamilifu wa mahubiri ya Kasisi William Marrion Branham katika hali ya kuweza kutafutika.

Gusa & Cheza - Hii inaunganisha maandishi na sauti ya kusikizwa. Sasa unaweza kutafuta nukuu, uitie alama, na kisha ubofye kitufe kuanza kusikiliza kutoka hapo!

Soma Huku Ukisikiliza - Soma Huku Ukisikiliza hushusha kurasa kama zinavyohitajika ili kwa njia ya otomatiki iende moja kwa moja na sauti ya Ndugu Branham.

Zilizotiwa Alama na Muhtasari - Sasa unaweza kuweka zile ulizotilia alama katika zaidi ya kitengo kimoja. Kwa mfano, nukuu ambayo ungependa kukumbuka kuhusu ushawishi wa muziki juu ya vijana inaweza kutiwa alama kwa njia mbali mbali kama vile Watoto, Ushawishi, na Muziki. Haikulazimu tena kuchagua kuchagua kitengo "bora zaidi" kuhifadhia kilichotiwa alama. Baadaye unapotafiti lolote la masomo hayo, nukuu hiyo haikosekani.

Subtitle - Subtitle ni modi ya Kusoma Huku Ukisikiliza ambayo imeundwa kuonekana kubwa iwezekanavyo kwenye skrini, bila ya vizuizi vyovyote kadri inavyowezekana. Moja ya matumizi yake iliyoundiwa ingekuwa ni kanisani katika kuonyesha maandishi wakati unaposikiliza mahubiri. Tableti nyingi za Android zinatumika na adapta zinazoruhusu matumizi ya skrini ya nje au projekta ili kuonyesha maonyesho. Hii huwawezesha watu wengi kuitazama skrini kwa wakati mmoja. Sifa hii itang'ara sana na lugha za kigeni katika programu hii, kwa sababu unaweza kuwa ni vijisehemu vilivyotafsiriwa kwenye skrini huku ukisikiliza Sauti katika Kiingereza. Kisomoji cha Subtitle pia hufanya kazi vizuri kama unahitaji maadishi makubwa kusoma huku ukifuatilia katika kifaa chako.

Programu ya The Table pia ndiyo programu ya kimsingi kwa tableti za Agapao na Hero .
Ilisasishwa tarehe
10 Apr 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Shughuli za programu na Utendaji na maelezo ya programu
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.7
Maoni elfu 12.1
Joshua Nicodemus
22 Machi 2024
Tumwamini Mungu kupitia Nabii William Marrion Branham
Je, maoni haya yamekufaa?
Joshua Nicodemus
31 Oktoba 2022
good
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Samwel Tippe
26 Mei 2022
Table agapao
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

- Added Support for Afrikaans, Asante Twi, Bemba, Cebuano, Chichewa, Chinese, ChiShona, Chitonga, Chitumbuka, Ciluba, Czech, Deutsch, Emakhuwa, Español, Eʋegbe, Français, Hiligaynon, Hindi, Hungarian, Indonesian, isiXhosa, isiZulu, Italiano, Kiswahili, Kyangonde, Lingala, Lozi, Luvale, Ndebele, Nederlands, Norsk, Northern Sotho, Makhuwa, Malagasy, Oshikwanyama, Polski, Português, Русский, Română, SiSwati, Southern Sotho, Suomi, Svenska, Tagalog, Tamil, Tiếng Việt, Tswana and more!