Kupitia Tigo Pesa App, sasa unaweza kufanya miamala yako ya Tigo Pesa kwa urahisi na usalama.
VIPENGELE MUHIMU:
• Muonekano Mpya – imeboreshwa kuvutia, kurahisisha matumizi na kiusalama.
• Inapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
• Kuangalia salio ni BURE!
• Uwezo wa kutumia ukiwa kwenye mtandao wowote, mahala popote duniani
• Chagua majina kwenye orodha yako ya simu kufanya miamala ya kutuma pesa, kuongeza salio au kununua vifurushi
• Tuma Pesa kwenda mtandao wowote (huku ukihakiki majina), na kwa benki na taasisi mbalimbali za kifedha nchini Tanzania
• Tunza miamala yako muhimu ya malipo ya bili na ya kibenki kurahisisha pindi unapoirudia
• Malipo ya Serikali – uwezo wa kulipa kupitia alama ya QR code inayoambatana na risiti au kwa namba ya malipo.
• Rudisha Muamala– ambapo mteja anaweza kuomba kurudisha muamala endapo amekosea kutuma, kwa wateja wengine wa Tigo.
• Uwezo wa kutazama shughuli zako ulizofanya kwenye App
• Ni rahisi kufanya usajili na kuondoa usajili na inakupa uwezo kusajili kwenye zaidi ya kifaa kimoja
• Nunua vifurushi kwa matumizi binafsi au kwa ajili ya mtu mwengine
• Uwezo wa kuona mchanganuo wa vifurushi na maelezo ya Salio la muda wa maongezi
• Fanya miamala yako yote kwa usalama kwa kutumia namba ya siri
• Masterpass QR – njia ya malipo kwa kuskani alama au picha ya QR na kulipia huduma au bidhaa
• Kutuma pesa kama vocha endapo mpokeaji hana akaunti au ukihitaji kulipia ada ya kutoa pesa
Ilisasishwa tarehe
4 Sep 2024