Malunde 1 Blog

包含广告
5万+
次下载
内容分级
适合所有人
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片

关于此应用

Malunde 1 blog App – ni app maalum kwa ajili ya habari na matukio yanayotokea Tanzania na nje ya Tanzania。 Habari za michezo, ajira,picha nzuri, mapenzi, siasa, uchumi, burudani, video mpya, nyimbo mpya na mambo yote mazuri

Malunde 1 blog App - Usipate tabu tena kutafuta habari za kusisimua na magazeti ya kila siku, kuwa mjanja malunde 1 blog app ndiyo kituo cha taarifa mpya, habari za moto moto, yanayojiri magazetini, habari kubwa magazeti, vichwa vya habari vya magazeti na habari na matukio ya ukweli na uhakika muda wote。 Tunakupa habari kali kali kwa waandishi wa habari mahiri。

Malunde 1 博客应用程序 – Ni mahali pekee ambapo utapata habari za Shinyanga,Gamboshi na maeneo yote。 Ni kituo cha habari za kusisimua,siasa,simulizi,mapenzi,michezo,nyimbo za asili na vituko。 Mambo yote ya fashion na mitindo na matangazo ya burudani na biashara utapata kupitia app hii。

Malunde 1 博客应用程序 – Kuwa wa kwanza kupokea nyimbo za ngoma za asili、ngoma mpya za wasanii wa nyimbo asili na utamaduni。 Tunakupa furaha na burudani za asili ili ufurahie ulimwengu wa burudani kutoka kwa wasanii wa Kanda ya Ziwa wakiwemo akina Bhudagala, Ng'wana Kang'wa, Ntemi omabala, Ngelela, Bhulemela, Mama Ushauri, Elizabeth Maliganya, Gude Gude, Kisima, Mchelemchele, Mlyambelele , Madebe na Wasanii wengine wa ngoma za Kisukuma, nyimbo za kisukuma, nyimbo za utamaduni, nyimbo za makabila yote。

Malunde 1 blog App - Hii inakupa habari mbalimbali kuhusiana na mapenzi, mahusiano, mapenzi,jinsi ya kuchagua mchumba, vyakula vya kuimarisha afya ya uzazi,jinsi ya kupata mrembo wa kuishi naye, visa vya mapenzi, matukio ya mapenzi ushauri pamoja na simulizi zinazohusu mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi na matukio yatokanayo na mapenzi。

Malunde 1 App - App maalumu kwa habari za michezo na burudani、mechi zote、timu zote zinazocheza na wasanii wa filamu、bongo fleva、Singeli、bolingo、bongo movie、Royal tour na burudani zote zitakazokupa raha duuniani。

Malunde 1 App - Pia katika App hii utapata nyimbo mpya za wasanii, visa vya wasanii, nguo za wasanii na mambo yote ya wasanii duunii。 Utapata habari zote kuhusu nchi yako、siasa、uchumi、utamaduni、mapenzi、picha za matukio na mambo yote ya habari za wasanii、habari za wanasiasa、habari za watu maarufu。

Malunde 1 App - Kupitia App hii utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye mambo yanayowatatiza kila siku kwenye maisha na mbinu za kubadili maisha na kuongeza furaha katika maisha。 Habari zote zinazogusa maisha ya watu。

Malunde 1 blog Fahari ya Shinyanga ni blog ya Kiswahili maarufu duuniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, nyimbo za asili na habari za kusisimua。
更新日期
2022年7月23日

数据安全

安全始于了解开发者如何收集和分享数据。数据隐私保护和安全措施可能会因您的使用情况、所在地区和用户年龄而异。此类信息由开发者提供,可能会随时间更新。
此应用可能会与第三方分享这些类型的数据
位置信息、应用信息和性能和设备 ID 或其他 ID
不会收集任何数据
详细了解开发者如何声明数据收集事宜
数据在传输过程中会加密
数据无法删除