Mapenzi motomoto ni app inayokuwezesha kuangalia video mbalimbali. Kwa wapenzi wa video zangon app hii ni nzuri. App hii haijuimuishi video za tabia mbaya au video za kikubwa bali video nzuri za mahaba, vicheckesho n.k.
Ni app nzuri ya kuangalia video za usiku kwa wale wanaokuwa busy wakati wa mchana