Instagram

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
Maoni 169M
Daraja la maudhui
Vijana
5B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Vijana
Watumiaji Hushirikiana, Hushiriki Eneo na Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Dakika ndogo husababisha urafiki mkubwa. Shiriki yako kwenye Instagram.
- Kutoka kwa Meta

Ungana na marafiki, tafuta mashabiki wengine, na uone kile ambacho watu walio karibu nawe wanafanya na kuzingatia. Gundua mambo yanayokuvutia na uchapishe kinachoendelea, kuanzia matukio yako ya kila siku hadi mambo muhimu ya maisha.

Shiriki unachofanya na kutekeleza kwenye Insta®.
- Fuata marafiki ukiwa na Hadithi na Vidokezo ambavyo hupotea baada ya saa 24.
- Anzisha mazungumzo ya kikundi na ushiriki matukio ambayo hayajachujwa na Marafiki wako wa Karibu.
- Shiriki kumbukumbu kutoka kwa matukio ya hivi karibuni au safari katika Mlisho.
- Badilisha maisha yako kuwa filamu na ugundue video fupi za kuburudisha kwenye Instagram ukitumia Reels.
- Binafsisha machapisho yako na violezo vya kipekee, muziki, vibandiko na vichungi.

Ingia kwenye mambo yanayokuvutia.
- Tazama video kutoka kwa Watayarishi unaowapenda na ugundue maudhui mapya ambayo yamebinafsishwa kulingana na mambo yanayokuvutia.
- Pata msukumo wa picha na video kutoka kwa akaunti mpya katika Gundua.
- Gundua chapa na biashara ndogo ndogo, na ununue bidhaa ambazo zinafaa kwa mtindo wako wa kibinafsi.

Baadhi ya vipengele vya Instagram huenda visipatikane katika nchi au eneo lako.

Masharti na Sera - https://help.instagram.com/581066165581870

Sera ya Faragha ya Afya ya Mtumiaji: https://privacycenter.instagram.com/policies/health

Jifunze jinsi tunavyofanya kazi ili kusaidia kuweka jumuiya zetu salama kote katika teknolojia ya Meta katika Kituo cha Usalama cha Instagram: https://about.instagram.com/safety
Unda na ushiriki picha, hadithi na miigizo na marafiki unaowapenda
Ilisasishwa tarehe
31 Ago 2026

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
    Taarifa binafsi na Kifaa au vitambulisho vingine
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Mahali, Taarifa binafsi na nyingine12
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

Maoni 164M
Miggozo Bakari
3 Septemba 2026
silazima
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Guresti
7 Septemba 2026
KADI.majhi
Je, maoni haya yamekufaa?
Magdalena maliko Bundala
28 Julai 2026
iko vizuri sana
Watu 5 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Daraja la maudhui
Vijana
Watumiaji Hushirikiana, Hushiriki Eneo na Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi

Usaidizi wa programu

Kuhusu msanidi programu
Meta Platforms, Inc.
instagram-android@meta.com
1 Meta Way Menlo Park, CA 94025-1444 United States
+1 650-853-1300

Zaidi kutoka kwa Instagram

Programu zinazolingana