Keyman inafanya iwe rahisi kuandika kwa zaidi ya lugha 1,700 tofauti kwenye simu yako ya Android au kompyuta kibao! Unaweza kutuma ujumbe wako kwa Twitter au barua pepe au kuwatumia ujumbe, na uwasiliane moja kwa moja kwa lugha yako mwenyewe!
Keyman hutoa Kinanda ya Mfumo katika programu zote kwenye kifaa chako, na maandishi ya utabiri wa lugha nyingi.
Unda mpangilio wako wa kibodi na zana rafiki Keyman Developer (inayopatikana sasa kwa vifaa vya eneo-kazi).
Ilisasishwa tarehe
29 Sep 2025