NeST maana yake ni Mfumo wa Kitaifa wa Ununuzi wa Kielektroniki wa Tanzania, mfumo uliotengenezwa, kusimamiwa na kuendeshwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2022 kwa ajili ya kuwezesha shughuli za ununuzi kwa njia ya teknolojia ya habari na mawasiliano.
Ilisasishwa tarehe
16 Nov 2024