4.8
Maoni elfu 36.2
1M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Hebu fikiria kuwa unaweza kuhifadhi Wikipedia nzima kwenye simu yako, na kuivinjari wakati wowote, mahali popote, hata wakati hakuna muunganisho. Nje ya mtandao kabisa! Kwa bure!

Kiwix ni kivinjari kinachopakua, kuhifadhi na kusoma nakala za tovuti zako za elimu uzipendazo - Wikipedia, mazungumzo ya TED, Stack Exchange, na maelfu zaidi katika lugha nyingi.

Kumbuka: Kiwix inapatikana pia kwenye kompyuta za kawaida (Windows, Mac, Linux) na pia kwenye maeneo-pepe ya Raspberry Pi - maelezo zaidi katika kiwix.org . Kiwix ni shirika lisilo la faida na haionyeshi matangazo wala kukusanya data yoyote. Michango kutoka kwa watumiaji wenye furaha pekee ndiyo hutufanya tuendelee :-)
Ilisasishwa tarehe
12 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data

Ukadiriaji na maoni

4.8
Maoni elfu 34.2

Mapya

3.10.1
* Added support for opening zim files with Kiwix when clicking on zim files in the storage.
* Improved the welcome page loading of zim files.
* Added support for opening the splitted zim files.
+More