Budget control Widget

4.3
Maoni 757
elfu 100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Bajet control ni programu ndogo isiyolipishwa inayokuwezesha kuona gharama yako , mapato na bajeti inayosimamiwa na program ya HandWallet kwa homescreen ya simu.
Ili kutumia programu hii, ni LAZIMA usanikishe kwanza programu ya HandWallet – program isiyolipishwa inayokusaidia kudhibiti gharama yako , akaunti, bili na bajeti:
https://play.google.com/store/apps/details?id=mediavision.handwallet

• hailipishwi
• Hounyesha fedha iliyosalia katika akaunti yako ya benki
• Huonyesha pesa uliotoa zaidi ya yenye inapatikana kwa benki kwa rangi nyekundu

Chaguzi:
• Inaweza kudhibiti sarafu ya grafu( Dola , Euro nk)
• inaweza kudhibiti tarehe ( bajeti yah ii mwezi, ya mwezi iliyopita, ya mwaka nk) .
• Dhibiti akaunti gani utakayoonyeshwa: gharama ya gari, chakula na mengine mengi
• ukubwa wa herufi , rangi, picha ya nyuma na tarehe itakavyopangwa

• Inatumia sarafu mbalimbali
• Weka gharama mpya kwa mguso moja tu.
• Anzisha programu HandWallet kwa mguso moja tu

Kwa nini Budget control Widget ni bora kuliko Excel ?
• Kwa sababu ni rahisi zaidi na bado ina chaguzi zaidi
• Kwa sababu itakupa picha kamili na si tu benki au hali ya kadi

Kwa nini kutumia budjet control widget ?
Kwa sababu ni programu bora zaidi. Na kwa sababu sisi tumetengeneza Expense manager kwa miaka 10 na tunajua kwa nini hasa watu wengi wanataka kusimamia gharama lakini wachache tu hufanikiwa.

Jinsi ya kusanikisha ?
1. Shusha HandWallet kutoka kwa matndao bila malipo na kisha uanzishe. Hakikisha kwamba lugha yako, nchi na fedha ni sahihi. HandWallet itafafanua akaunti tatu moja kwa moja: fedha, akaunti ya benki na kadi ya mikopo.

Jinsi ya kudhibiti bajeti ?
Bonyeza "data" kisha “categories. Chagua kikundi kifaacho, kwa mfano “car expense (gharama ya gari) ". bonyeza” advanced" na uchague aina ya bajeti: bajeti fasta, muhtasari wa bajeti na kadhalika. Unaweza kufafanua bajeti tofauti kwa kila kipindi. Rudia utaratibu huu kwa makundi mengine : bajeti ya afya , bajeti ya chakula na kadhalika. Hatimaye hakikisha kwamba kwa ujumla jamii " budget " ina bajeti ya aina ya " muhtasari bajeti" , kwa maana kwamba bajeti ni mahesabu kutoka makundi yote ndogo.
Ilisasishwa tarehe
10 Des 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni 674