GodTools

4.5
Maoni elfu 4.06
1M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Kama Mkristo unataka watu maishani mwako wajue kuwa na uhusiano unaobadili maisha na Mungu. Lakini kuanza mazungumzo haya kunatisha. Fungua GodTools ili kuonyesha mtu kwa nini unaamini na kwa nini ni muhimu, kwa lugha wanayoielewa.

Ungana na karibu watu milioni moja katika nchi mia mbili ambao wamepakua kifaa kilichoundwa kukusaidia kushirikisha wengine kwenye imani yako.

Una mazungumzo mengi kila siku kuhusu mambo yaliyo muhimu kwako. Lakini nafasi inapofika kuongea kuhusu Yesu, je, unahisi namna iyo hiyo?

Kuongea na Mungu kunahisi kukiwa kuzito sana? Unaogopa jinsi mwingine atakavyojibu?

Hauko peke yako.

GodTools inakupa aina ya njia nyingi jinsi ambavyo unaweza kumpeleka mtu kumjua Mungu kibinafsi. Jenga ujasiri wako kwa kuongea kuhusu unachoamini, kwa vifaa ambavyo vinatumiwa kwa mazungumzo duniani kote.

Programu hii ina vifaa na rasilimali kwa mbele ya, wakati wa na baada ya mazungumzo kuhusu injili.

Kifikirie kama mwongozo wako wa kibinafsi wa injili-kila wakati tayari unapokuwa tayari pia.

GodTools inapatikana kwenye zaidi ya lugha tisini. Watu wawili wanaweza kuangalia kifaa kimoja kwa wakati mmoja kwenye lugha mbili. Kwa hivyo kuna kizuizi kimoja kimeonodolewa katika kushiriki injili na mtu mmoja unayemjali.

Pata mengi zaidi kwa kutembelea godtoolsapp.com

Kama unataka kutueleza hadithi yako ya kutumia GodTools, kukumbana na shida ukitumia programu, ama kupendekeza boresho, tafadhali tuma barua pepe kwa support@godtools.com.
Ilisasishwa tarehe
8 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi, Shughuli za programu na nyingine2
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.5
Maoni elfu 3.83

Mapya

Marekebisho ya hitilafu na maboresho ya Kusano la Mtumiaji.