Kivinjari cha Opera Mini

Ina matangazo
Maoni 10M
Daraja la maudhui
Kila mtu
500M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Watumiaji Hushirikiana, Intaneti Isiyokuwa na Vikwazo
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Opera Mini inahusu kasi na starehe, lakini ni zaidi ya kivinjari tu! Ni nyepesi na inaheshimu faragha huku ikikuruhusu kuvinjari intaneti haraka, hata kwenye mitandao ya kasi ya chini au iliyosongamana. Smart Browsing huteua hali bora ya uokoaji data kwa ajili yako uvinjari sana ukitumia mpango wako wa data.

Huzuia matangazo yanayoudhi na kujumuisha kidhibiti cha kupakua na kushiriki faili nje ya mtandao. Ni kichezaji maudhui rahisi cha hali inayokuwezesha kusikiliza muziki na kutazama video bila tatizo, huku kikikupa habari zinazokufaa zinazoendeshwa na AI. 
 

Vipengele bora

Okoa Data 

Okoa 90% ya data yako na uvinjari haraka, hata mitandao ya kasi ya chini, bila kuchachawiza hali ya kuvinjari. Angalia hali ya uokoaji data kila siku kwa urahisi huku Opera Mini Smart Browsing ikiteua kiotomatiki kuvinjari kwa hali ya utumiaji wako bora.

Upakuaji Mahiri 

Kagua kiotomatiki tovuti za video na faili za muziki zinazopakulika na uzipakue chinichini. Pata vipakuliwa vyote na faili za awali kwa urahisi kwenye kifaa chako – hakuna kuchakura tena kwenye folda. Smart Downloading inajumuishwa na kichezaji video cha Opera Mini na Kushiriki Faili Nje ya Mtandao, uweze kupakua na kushiriki faili na marafiki!

Kushiriki Faili Nje ya Mtandao 

Tuma na upokee faili kwa njia salama bila mtandao wala matumizi data. Kipengele cha Kushiriki Faili Nje ya Mtandao kinaweza kuhamisha picha au faili kwa kasi hadi MB 300 na kulifanya kuwa suluhisho bora la kushiriki faili popote! Kagua msimbo wa QR na ushiriki na watumiaji wa Opera Mini haraka. 
 
Zuia Matangazo 

Opera Mini ina kizuia matangazo cha ndani hivyo unaweza kuvinjari wavuti bila matangazo yanayoudhi na kukuza hali ya kuvinjari wavuti bila tatizo!

Boresha Kivinjari Chako 

WEWE ni Mkuu wa Opera Mini! Boresha kivinjari kikufae kwa kuchagua mpangilio, mandhari, kategoria za habari na zaidi. Ifanye Opera Mini yako ivutie!

Habari Zinazofaa 

Fuatilia habari zinazovuma za ndani na kimataifa haswa zinazokufaa. Mlisho wa habari uliozimwa na kuwashwa ndani ya Opera Mini unaendeshwa na mtambo wetu wa AI. Fuata idhaa unazopenda uone mada zinazokufaa.

Kichezaji Video 

Tazama na usikilize moja kwa moja, au pakua utumie baadaye. Kichezaji video cha Mini kina hali inayorahisisha matumizi kwenye kifaa chako cha mkononi kimejumuishwa na Download Manager.

Kusoma Nje ya Mtandao 

Hifadhi hadithi na kurasa za wavuti kwenye simu yako ukiwa kwenye Wi-Fi na uzisome baadaye nje ya mtandao bila data. Unaweza kuchagua kuonyesha upya kiotomatiki habari ukiwa na Wi-Fi na udhibiti kwa urahisi faili zilizohifadhiwa. Zifikie haraka kwa kuongeza njia mkato kwenye kipengele cha Kusoma Nje ya Mtandao katika upau wa kusogeza.

Vinjari Faraghani

Opera Mini inakupa ulinzi mkubwa wa faragha kwenye wavuti. Tumia vichupo vyako vya faragha kuvinjari bila kuacha historia kwenye kifaa wala kufuatiliwa. 

Hali ya Usiku

Punguza mwangaza wa skrini ulinde macho unaposomea gizani.
 
Kujifunza zaidi kuhusu ruhusa ambazo Opera Mini hutumia, tembelea: http://www.opera.com/help/mini/android/permissions

Fanya zaidi na Opera: https://www.opera.com/mobile/android

Opera inaweza kuonyesha matangazo kutoka Facebook. Kujifunza zaidi, tazama: https://m.facebook.com/ads/ad_choices

Wasiliana:
Twitter – http://twitter.com/opera/
Facebook – http://www.facebook.com/opera/
Instagram – http://www.instagram.com/opera

Sheria na Masharti:
Kwa kupakua programu hii, unakubali Makubaliano ya Leseni ya Mtumiaji kwenye https://www.opera.com/eula/mobile. Unaweza kujifunza jinsi Opera inavyoshughulikia data katika taarifa ya Faragha kwenye https://www.opera.com/privacy.
Kivinjari salama - uokoaji data, kizuia matangazo, upakiaji na ushiriki faili.
Ilisasishwa tarehe
8 Sep 2026

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
    Kifaa au vitambulisho vingine
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Mahali, Taarifa binafsi na nyingine4
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

Maoni 9.71M
Denisi Mgogosi
23 Agosti 2026
hii ni nzuri zaidi inasaidia vingi
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Opera
23 Agosti 2026
Asante kwa maoni yako, na tunafurahia kusikia unavyofurahia programu hii! Ni muhimu kwetu kujua kwamba inakidhi mahitaji yako. Tunaamini utaendelea kupata faida nyingi kutoka kwake.
Mtu anayetumia Google
23 Agosti 2026
ni nzuri sana sijutii kuitumia hii app
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Opera
23 Agosti 2026
Tunafarijika kusikia unaridhika na matumizi ya programu hii! Maoni yako ni muhimu kwetu, na tunatarajia kuendelea kukupa uzoefu mzuri. Karibu tena!
Nizigama Jeruve
24 Agosti 2026
naipenda
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Opera
24 Agosti 2026
Tuna shukurani kubwa kwa maoni yako mazuri! Tunafurahia sana kujua unatumia app yetu kwa furaha. Maoni yako ni muhimu kwetu, na tunaendelea kufanya kazi ili kuboresha uzoefu wako.

Vipengele vipya

- New: Status saver
- Various stability and performance fixes