Airbnb

4.6
Maoni 1.58M
100M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 3 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Matukio ya safari ya Airbnb hayasahauliki. Pata matukio ya kusafiri na maeneo mapya ya kwenda mbali sana au karibu na wewe, na ufikie nyumba za kukodi za likizo, matukio mapya, na maeneo ya kutembelea kote ulimwenguni. Weka nafasi ya kila kitu kwa safari yako, au anza kupata pesa kama mwenyeji.

WEKA NAFASI KWENYE MATUKIO YA SAFARI Tembea kwenye safari za ndani ukiongozwa na wataalamu wazawa, iwe ni kwa siku nyingi au alasiri moja tu. Chunguza eneo la chini kwa chini la muziki huko Seoul, winda uyoga katika msitu wa Tuscan, au saidia jumuiya kwa tukio la wajibu kwa jamii.

WEKA NAFASI KWENYE NYUMBA ZA LIKIZO Chagua nyumba ya kukodi miongoni mwa nyumba zaidi ya milioni 6 katika nchi zaidi ya 191. Tafuta kulingana na bei, maeneo ya jirani, vistawishi, na zaidi.

MAENEO MAARUFU Ona mandhari maridadi na waongozaji wa ndani kwa ajili ya likizo bora: • Rio - Talii makao ya asili ya Samba au uruke juu kwa juu kwenye mandhari hizo • Paris - Jishibishe kwenye baadhi ya safari bora za vyakula na majumba ya makumbusho • Barcelona - Gundua uzuri wa jiji kwenye safari za matembezi pamoja na kiongozi

Kwa wasafiri: • Kodi nyumba za likizo na matukio ya kusafiri kwa safari yako mwenyewe ijayo, likizo ya familia, au safari ya biashara • Tafuta malazi ya kusafiri kwa dakika za mwisho au nyumba za kukodi kwa muda mrefu • Hifadhi nyumba zako za kukodi uzipendazo, matukio, na maeneo--na uwaalike marafiki na familia mpange safari pamoja • Ongeza matukio kwenye utaratibu wako wa safari • Mtumie ujumbe mwenyeji wako na upate maelekezo ya kwenda kwenye nyumba yako

Kwa wenyeji: • Shiriki sehemu yako ya ziada au uongoze matukio yanayoangazia umaarufu wa jiji lako • Sasisha upatikanaji wa tangazo na kalenda yako • Shiriki mambo maalumu juu ya ujirani wako kwenye kitabu cha mwongozo kwa wenyeji • Watumie wageni ujumbe na usimamie nafasi walizoweka
Ilisasishwa tarehe
4 Jun 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine3
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine7
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.6
Maoni 1.54M