Kikuza Sauti

3.9
Maoni elfu 75.1
100M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Huduma ya Kikuza Sauti inafanya sauti za mazingira na mazungumzo ya kila siku kuwa fikivu zaidi kwa watu wenye tatizo la kusikia, kwa kutumia simu yako ya Android na vipokea sauti vya kichwani tu. Tumia Kikuza Sauti ili uchuje, uongeze na ukuze sauti karibu nawe na kwenye kifaa chako.

Vipengele
• Punguza kelele zisizotakiwa ili uitambue vizuri matamshi.
• Makinika na sauti ya mzungumzaji katika mazingira ya kelele kwa kutumia kipengele cha hali ya mazungumzo. (Inapatikana katika Pixel 3 na toleo la juu.)
• Sikiliza mazungumzo, TV au mihadhara. Kwa vyanzo vya sauti ambavyo viko mbali, vipokea sauti vya kichwani vya Bluetooth vinapendekezwa. (Vipokea sauti vya kichwani vya Bluetooth vinaweza kupokea sauti kwa kuchelewa.)
• Wekea mapendeleo hali yako ya usikilizaji wa mazungumzo yanayokuzunguka au maudhui yanayocheza kwenye kifaa chako. Unaweza kupunguza kelele au kuboresha sauti za masafa ya chini, masafa ya juu au sauti tulivu. Weka mapendeleo yako kwa masikio yote mawili au tenganisha kwa kila sikio.
• Washa na Zima huduma ya Kikuza Sauti kwa kutumia kitufe cha zana za ufikivu, ishara au Mipangilio ya Haraka. Pata maelezo zaidi kuhusu kitufe cha zana za ufikivu, ishara na Mipangilio ya Haraka: https://support.google.com/accessibility/android/answer/7650693

Mahitaji
• Inapatikana katika toleo la Android 8.1 na zaidi.
• Unganisha kifaa chako cha Android na vipokea sauti vya kichwani.
• Kwa sasa kipengele cha hali ya mazungumzo kinapatikana kwenye Pixel 3 na toleo la juu.

Tutumie maoni yako kuhusu huduma ya Kikuza Sauti kwa kutuma barua pepe kwenye: sound-amplifier-help@google.com. Kwa usaidizi wa jinsi ya kutumia Kikuza Sauti, wasiliana nasi kupitia https://g.co/disabilitysupport.

Arifa ya Ruhusa
Maikrofoni: Ufikiaji wa maikrofoni utaruhusu huduma ya Kikuza Sauti ichakate sauti kwa ajili ya ukuzaji na uchujaji. Hakuna data inayokusanywa au kuhifadhiwa.
Huduma ya Ufikivu: Kwa kuwa programu hii ni huduma ya ufikivu, inaweza kuchunguza shughuli zako, kuleta maudhui ya dirisha na kuona maandishi unayoandika.
Ilisasishwa tarehe
17 Jun 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi, Sauti na nyingine3
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

3.9
Maoni elfu 74.1
Gibole Gweso
30 Oktoba 2023
Iko vizuri
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
បងម៉ៅ ឃាវ៉ា
30 Januari 2022
"Carro"
Watu 3 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?