Piga picha za samaki ukitumia Kiunganishi cha Kipochi cha Kupiga Mbizi cha Google Kamera. Piga picha maridadi majini kwa kipochi kinachotumika cha Kupiga Mbizi ukitumia vipengele unavyopenda vya Google Kamera.
• Angalia maelezo ya ziada - Fuatilia betri ya simu yako, betri ya kipochi chako, halijoto ya maji na kina cha maji ulipo wakati wote.
• Tumia hali unazopenda - Tumia hali katika Google Kamera kama vile Kamera, Mkao Wima, Shabaha ya usiku na Video.
• Lenga kwa urahisi - Bonyeza "kitufe cha kulenga" ili uweke ulengaji kwenye kiumbe wa majini unayependa.
Mahitaji - Google Kamera toleo la 7.4.105 au toleo jipya zaidi. Baadhi ya vipengele havipatikani kwenye vifaa vyote.
Ilisasishwa tarehe
11 Mei 2023