Uelekezaji wa Google Maps Go

Ina matangazo
4.3
Maoni elfu 368
500M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Uelekezaji wa Google Maps Go hutoa maelekezo ya sauti ya hatua kwa hatua yanayotegemea GPS na umeboreshwa kufanya kazi kwenye vifaa vilivyo na hifadhi ndogo. Pakua programu hii inayotumika pamoja ili upate maelekezo kwa wakati halisi ya Google Maps Go. Anza kwa kutafuta maelekezo katika Google Maps Go na kisha uguse kitufe cha Maelekezo.

Hutoa maelekezo ya hatua kwa hatua katika wakati halisi inapotumika kwa pamoja na Google Maps Go

Furahia uelekezaji halisi wa Ramani za Google lakini ulioundwa ili ufanye kazi bora zaidi kwenye simu zilizo na hifadhi ndogo

Pata maelekezo ya kuendesha gari, kutembea, kuendesha baiskeli na pikipiki yanapopatikana

Huhifadhi njia yako ili uendelee kupata maelekezo bila kukoma, hata ukipoteza muunganisho wa mtandao

Sikiliza maelekezo kwa sauti katika zaidi ya lugha 50

Uelekezaji wa Google Maps Go hauwezi kutumika kama programu inayojitegemea, inayotumika kando na lazima ifunguliwe baada ya kutafuta maelekezo katika Google Maps Go
Ilisasishwa tarehe
14 Okt 2021

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine5
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni elfu 356
Edward Chalamila
17 Februari 2021
Uko sahihi
Watu 9 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Jamal Said
12 Julai 2020
Home is better
Watu 14 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Nestoni Mbembela
5 Mei 2020
Vizuri sana
Watu 11 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

Uelekezaji wa sauti kwenye Google Maps Go kwa ajili ya simu zenye hifadhi ndogo.