Usalama Binafsi

4.1
Maoni elfu 50
1+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Usalama Binafsi ni programu inayokusaidia ujiandae kuchukua hatua katika hali ya dharura kwa kukusaidia kupata usaidizi na maelezo unayohitaji kwa haraka.

Vipengele

Kwenye simu
• Simu ya dharura: Pata usaidizi wakati wa dharura kwa kubonyeza kwa haraka kitufe cha kuwasha/kuzima mara 5 au zaidi. Kisha, simu yako inaweza:
\t ◦ Kuzipigia simu huduma za dharura au nambari yoyote utakayochagua
\t ◦ Kushiriki maelezo muhimu na maelezo ya mahali ulipo na watu unaowasiliana nao wakati wa dharura
\t ◦ Kurekodi, kuhifadhi nakala na kushiriki video

• Kushiriki Maelezo ya Dharura: Shiriki maelezo muhimu na maelezo ya mahali ulipo katika wakati halisi na watu unaowasiliana nao wakati wa dharura. Pia hufanya kazi na Programu ya Mratibu wa Google.

• Kipengele cha Ukaguzi wa Usalama: Weka kipima muda cha wakati wa kuingia kwenye simu yako ili uthibitishe usalama wako. Muda uliobainisha kwenye kipima muda ukiisha kabla ujibu, kipengele cha Kushiriki Maelezo ya Dharura huanza kushiriki maelezo kiotomatiki. Pia hufanya kazi na Programu ya Mratibu wa Google.

• Kipengele cha Utambuzi wa Ajali za Magari (Simu za Pixel pekee): Pata usaidizi kwa kuzipigia simu huduma za dharura baada ya ajali ya gari. Ikiwa Simu yako ya Pixel itatambua kuwa umehusika katika ajali ya gari, inaweza kuzipigia simu kiotomatiki huduma za dharura ili upate usaidizi. Hakipatikani katika nchi, lugha na vifaa vyote. Ili upate maelezo kuhusu upatikanaji, nenda kwenye g.co/pixel/carcrashdetection.

• Arifa za dharura: Pata arifa kuhusu majanga na dharura za umma zinazotokea karibu nawe.

• Maelezo ya matibabu na watu unaowasiliana nao wakati wa dharura: Unaweza kufanya maelezo haya yaonekane wakati simu yako imefungwa. Katika nchi ambapo kipengele hiki kinatumika, unaweza pia kuchagua kushiriki maelezo haya ikiwa utawasiliana na huduma za dharura.

Kwenye Pixel Watch
• Kipengele cha Utambuzi wa Kuanguka: Saa yako inaweza kutambua kishindo kikubwa kutokana na hali ya kuanguka na ipige simu ili upate usaidizi.

• Simu ya dharura: Bonyeza kwa haraka gurudumu lenye meno mara 5 au zaidi ili uzipigie simu huduma za dharura au mtu unayewasiliana naye wakati wa dharura.

• Kipengele cha Kushiriki Maelezo ya Dharura, Ukaguzi wa Usalama, maelezo ya matibabu na watu unaowasiliana nao wakati wa dharura sasa kinapatikana kwenye Pixel Watch.
Ilisasishwa tarehe
29 Apr 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Afya na siha na Shughuli za programu
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine6
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.1
Maoni elfu 49.8

Mapya

Kwenye simu
• Programu ya Usalama Binafsi ina muundo mpya
• Simu ya dharura: Ongeza hatua ya uthibitishaji
• Kipengele cha Utambuzi wa Ajali ya Gari: Sasa kinapatikana nchini Uswisi, Ubelgiji, Austria, Ureno na India

Kwenye Pixel Watch• Sasa vinapatikana: Kipengele cha Utambuzi wa Kuanguka, Simu ya dharura, Kushiriki Maelezo ya Dharura, Ukaguzi wa Usalama na zaidi
• Kipengele cha Utambuzi wa Kuanguka: Kinapatikana katika nchi zaidi: http://g.co/pixelwatch/falldetection