Hifadhi nakala na usawazishe anwani zako kwenye vifaa vyako vyote
• Hakikisha kuwa nakala za anwani zako zimehifadhiwa kwa njia salama kwenye Akaunti yako ya Google
• Fikia anwani zako kwenye kifaa chochote unapoingia katika akaunti, ikiwa ni pamoja na simu mpya utakayopata
• Rejesha anwani zilizofutwa katika kipindi cha siku 30 zilizopita kutoka kwenye Tupio
Hakikisha kuwa anwani zako zimepangwa na zimesasishwa
• Angalia anwani zako kulingana na akaunti (kama vile za kazi au binafsi)
• Weka anwani na ubadilishe kwa urahisi taarifa kama vile namba za simu, barua pepe na picha
• Pata usaidizi wa kuunganisha anwani zinazojirudia, kuweka maelezo muhimu na zaidi
Wasiliana na watu muhimu zaidi
• Angalia matukio muhimu, kama vile siku za kuzaliwa na maadhimisho yajayo
• Weka arifa ili usikose siku yoyote maalum
• Fikia kwa urahisi anwani ulizoweka au ulizoangalia hivi majuzi
Pia inapatikana kwenye Wear OS, ikiwa ni pamoja na kigae cha anwani Uzipendazo na madoido ya anwani
Ilisasishwa tarehe
8 Mei 2024