Android Switch tayari imewekwa kwenye kifaa chako cha Android uweze kunakili kwa usalama picha, video, anwani na mengine mengi kutoka kwenye simu au kishikwambi kingine wakati wa kuweka mipangilio.
Pia, ikiwa unatumia Pixel 9, Pixel 9 Pro au Pixel 9 Pro Fold, unaweza kutumia Android Switch kuhamisha data yako wakati wowote baada ya kuweka mipangilio, hata ikiwa huna kifaa chako kingine.
Ilisasishwa tarehe
15 Sep 2025