Fikia data ya Google Play Console kwenye kifaa chako cha Android. Kagua data ya mapato na takwimu za utendaji wa programu yako. Pata arifa kuhusu mabadiliko ya uchapishaji na hali ya programu yako. Soma na ujibu maoni ya wanaotumia programu yako popote ulipo.
Angalia takwimu za programu, pata arifa kuhusu mabadiliko na ujibu maoni.
Ilisasishwa tarehe
6 Jul 2026