Ukiwa na Podikasti za Google unaweza kucheza vipindi vipya kutoka katika vipindi vyako pendwa, kugundua mapendekezo ya podikasti kwa ajili yako tu na kudhibiti shughuli yako ya kusikiliza.
Gundua podikasti utakazozipenda
• Jisajili na usikilize podikasti zako zote unazozipenda.
• Pitia vipindi unavyopendekezewa.
• Vinjari vipindi maarufu na vinavyovuma katika vipengele vya vichekesho, habari, historia, muziki, biashara, televisheni na filamu, elimu, afya na siha, teknolojia, sanaa, sayansi, michezo na zaidi.
Weka mapendeleo yako ya usikilizaji yanayokufaa
• Sikiliza kwa kasi za juu za kucheza au uruke sehemu zisizo na maudhui.
• Weka vipindi katika mfuatano ili ufurahia kusikiliza bila usumbufu.
• Fuatilia kwa urahisi historia yako ya maudhui uliyosikiliza, uliyopakua na unayofuatilia.
Sikiliza popote ulipo
• Sikiliza katika vifaa mbalimbali - simu, kompyuta ya kupakata na spika mahiri - bila kupoteza ulichokuwa unafuatilia.
• Tiririsha vipindi kwa uchezaji wa papo hapo au upakue vipindi kiotomatiki ili usikilize ukiwa haupo mtandaoni au popote ulipo.
• Gundua podikasti ukitumia Tafuta na Google na Mratibu wa Google.
Ili upate maelezo zaidi, tembelea Kituo chetu cha Usaidizi: https://support.google.com/websearch/topic/9739148?hl=en&ref_topic=3036132&p=podcasts&visit_id=637190448011338458-2709322194&rd=1
Ilisasishwa tarehe
11 Sep 2023