Google Home

4.0
Maoni 2.75M
500M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Tumia Programu ya Google Home kuweka mipangilio na kudhibiti vifaa vyako vya Google Nest, Google Wifi, Google Home na Chromecast pamoja na maelfu ya bidhaa zinazooana za muunganisho wa vifaa nyumbani kama vile taa, kamera, virekebisha joto na vifaa vinginevyo.

Washa taa, rekebisha kirekebisha joto au pata arifa kunapokuwa na mtu au kifurushi kwenye mlango wako wa mbele. Google Home kwenye Wear OS itapatikana kama onyesho la kukagua tunapoendelea kuongeza vidhibiti na maboresho.

Mwonekano mmoja wa nyumba yako.
Kichupo cha Mwanzo hukupa njia za mkato za mambo unayopenda kufanya zaidi, kama vile kucheza muziki au kupunguza mwangaza wakati unataka kutazama filamu. Dhibiti haya yote kwa kugusa mara moja au mbili, ili utekeleze kwa haraka zaidi mambo unayoyataka. Kichupo cha Mipasho huangazia matukio muhimu ya nyumbani kwako katika sehemu moja. Kwenye kichupo hiki, utaona pia njia za kunufaika zaidi na vifaa vyako na kuboresha mipangilio nyumbani mwako.

Weka Ratiba zitakazokuwezesha kuwasha taa zinazooana, kuangalia hali ya hewa, kucheza habari na mengine mengi ukitumia amri moja rahisi.

Angalia video na sauti zote za kutiririsha zinazoendelea kwenye vifaa vyako vya nyumbani vinavyooana katika sehemu moja, badilisha kiwango cha sauti, nenda kwenye wimbo unaofuata au ubadilishe kwa haraka spika zinazocheza.

Elewa kwa haraka mambo yanayotendeka nyumbani.
Programu ya Google Home imebuniwa ili ikuonyeshe hali ya nyumbani kwako na kukuarifu kuhusu mambo ambayo huenda umeyakosa. Ingia nyumbani kwako wakati wowote na uone muhtasari wa matukio ya hivi karibuni. Unaweza pia kupata arifa jambo muhimu likitokea nyumbani ukiwa mbali.

Weka kwa haraka mipangilio ya Nest Wifi na Google Wifi yako ukitumia programu ya Google Home. Fanya majaribio ya kasi, weka mipangilio ya mtandao wa wageni na ushiriki kwa urahisi nenosiri lako la Wi-Fi na wanafamilia na marafiki. Tumia vidhibiti vya wazazi kama vile kusitisha Wi-Fi ili udhibiti muda ambao watoto wanatumia mtandao. Wape kipaumbele watumiaji wa michezo ya video na mikutano ya video kwenye vifaa vyote kiotomatiki au uamue vifaa unavyotaka kuvipa kipaumbele kwa utumiaji wa aina zote. Pata maarifa zaidi kuhusu mtandao wako, iwe ni arifa ya wakati kifaa kipya kimejiunga na mtandao wako au maarifa ya kina ya utatuzi wa muunganisho dhaifu wa intaneti.

Nyumba inayokufaa ni nyumba yenye faragha.
Mchakato wa kulinda faragha yako unaanzia kwa mojawapo ya miundomsingi ya usalama ya ngazi ya juu sana ulimwenguni, ambayo tunajumuisha moja kwa moja kwenye bidhaa zote za Google ili ziwe salama kwa chaguomsingi. Usalama uliojumuishwa katika Akaunti yako ya Google hutambua na kuzuia hatari kiotomatiki kabla hazijakufikia, ili taarifa zako binafsi ziwe salama.

Tunaunda zana za faragha zinazokupa udhibiti.
Dhibiti shughuli, mipangilio ya faragha, taarifa na mapendeleo binafsi ya programu yako ya Mratibu wa Google. Angalia shughuli zako, zifute wewe mwenyewe au uchague kuzifuta kiotomatiki. Dhibiti faragha yako kwenye Mratibu wa Google ukitumia sauti yako. Uliza maswali kama vile “Ninaweza kubadilisha wapi mipangilio yangu ya faragha?” ili upate majibu ya maswali yanayoulizwa sana kuhusu faragha na usalama.

Tembelea Kituo cha Usalama cha Google Nest katika safety.google/nest ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi tunavyolinda taarifa zako na kuheshimu faragha yako.

* Huenda baadhi ya bidhaa na vipengele visipatikane kwenye maeneo yote. Unahitaji vifaa vinavyooana.
Ilisasishwa tarehe
29 Apr 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine6
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.0
Maoni 2.6M
Ayubu Deus
16 Mei 2024
App is good
Je, maoni haya yamekufaa?
Mtu anayetumia Google
15 Machi 2019
buree
Watu 9 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Swedi Bernadi Anzuruni Ishimanga
29 Novemba 2021
Good app
Watu 5 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

Mapya katika sasisho hili:
Hitilafu zimerekebishwa na utendakazi umeboreshwa.