Hali ya kusoma

3.6
Maoni elfu 3.11
elfu 500+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Imebuniwa kwa ajili ya na watu wenye uwezo mdogo wa kuona, wenye upofu na wasioweza kusoma vizuri, Hali ya kusoma husaidia kuboresha hali yako ya kusoma kwenye skrini ikizingatia utofautishaji wa rangi, ukubwa wa maandishi, usomaji maandishi kwa sauti, upangiliaji kurasa na aina za fonti zinazoweza kuwekewa mapendeleo. Baada ya kupakuliwa, programu huunganishwa kwenye mipangilio yako ya haraka na inaweza kufikiwa kwa urahisi kwenye programu na kurasa za wavuti.

Maelekezo:

Ili uanze:

1. Pakua na usakinishe Hali ya kusoma kupitia Duka la Google Play
2. Tafuta Hali ya kusoma kwenye skrini yako ya kwanza na uguse ili uifungue
3. Soma sehemu ya mafunzo na itakuelekeza kwenye mipangilio ukifika mwisho
4. Kwenye mipangilio, gusa "Hali ya kusoma" kisha uwashe "njia ya mkato ya Hali ya kusoma" ili uruhusu Hali ya kusoma ifikie kifaa chako
5. Tafadhali rejelea kwenye https://support.google.com/accessibility/android/answer/7650693 ili uweke mipangilio ya sehemu za kuanzia za Hali ya kusoma

Vipengele vya Msingi:

Mwonekano wa kusoma ulioangaziwa: Hali ya kusoma hukupatia usomaji unaoweza kuuwekea mapendeleo bila kuvuruga mpangilio ili kurahisisha ufikiaji wa maudhui na kuangazia
Kusoma maandishi kwa sauti: Sikia maudhui yaliyoandikwa yakisomwa kwa sauti unapogusa kitufe. Chagua kutoka kwenye uteuzi wa sauti za mwendo wa wastani zenye ubora wa juu. Chaguo za kudhibiti sauti za kurudisha nyuma, kupeleka mbele, kubadilisha kasi ya usomaji zinazofikiwa kwa urahisi popote ulipo
Badilisha aina na ukubwa wa fonti: Geuza kwa haraka kati ya ukubwa wa fonti, mitindo, rangi na nafasi kati ya mistari ili kuweka mapendeleo yanayokufaa kwa ajili mahitaji yako ya kusoma
Kufikia Faili Haraka: Baada ya kupakuliwa, Hali ya kusoma inaunganishwa kwenye kiolesura cha simu ili uifikie kwa haraka.
Matumizi ya lugha nyingi: Hali ya kusoma hutumia lugha za Kiingereza, Kifaransa, Kiitalia na Kihispania na lugha za ziada zitawekwa baadaye
Inaoana na TalkBack: Tumia kwa urahisi Hali ya kusoma unapotumia kisoma skrini chako.
Imebuniwa kwa kuzingatia faragha: Maudhui hayatumwi nje ya simu yako.

Jiunge na https://groups.google.com/forum/#!forum/accessible ili utoe maoni na upokee taarifa kuhusu bidhaa.

Mahitaji:

• Inapatikana katika simu zinazotumia Android 9 na matoleo mapya zaidi
• Kwa sasa Hali ya Kusoma inatumia lugha ya Kiingereza, Kifaransa, Kiitalia na Kihispania

Ilani ya Ruhusa:
• Huduma ya Ufikivu: Kwa kuwa programu hii ni huduma ya ufikivu, inaweza kujifunza vitendo vyako na maudhui ya dirisha
Ilisasishwa tarehe
17 Okt 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa

Ukadiriaji na maoni

3.7
Maoni elfu 3.01

Mapya

Toleo la awali la Hali ya kusoma.