Huduma za Kamera ya Pixel ni kipengee cha mfumo kinacholeta vipengele vya Kamera ya Pixel kama vile Shabaha ya usiku kwenye baadhi ya programu za watu wengine ambazo umezipatia ruhusa ya kutumia kamera yako. Kipengee hiki kinasakinishwa mapema kwenye kifaa chako na kinapaswa kusasishwa ili kuhakikisha kuwa unapata masasisho ya hivi karibuni ya kuchakata picha na kurekebisha hitilafu.
Mahitaji - Pixel 6 au mpya zaidi inayotumia Android toleo la 12 ikiwa na rekebisho la usalama la Machi. Baadhi ya vipengele havipatikani kwenye vifaa vyote.
Washa vipengele vya Kamera ya Pixel kwenye programu nyingine
Ilisasishwa tarehe
28 Jul 2026