Google Cast

Maoni elfu 33.8
Daraja la maudhui
Kila mtu
500M+
Vipakuliwa
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Google Cast ni teknolojia inayofanikisha utumiaji wa skrini nyingi na humwezesha mtumiaji kutuma na kudhibiti maudhui kama vile video kutoka kwenye kifaa kidogo kama vile simu, kompyuta kibao, au kompyuta ndogo kwenda kwenye kifaa chenye skrini kubwa kama vile runinga.

Programu hii inajumuisha Chromecast iliyo kwenye mfumo wa Android TV.

Inapatikana na imesakinishwa awali kwenye vifaa vya Android TV vilivyoidhinishwa na Google.
Iliyo na Chromecast kwenye mfumo wa Android TV
Ilisasishwa tarehe
30 Sep 2026
Habari zinazoangaziwa

Usalama wa data

Google Cast hujumuishwa kwenye kifaa chako ili kutoa huduma za mfumo. Ili upate maelezo zaidi, angalia sera ya faragha na tovuti ya msanidi programu.

Ukadiriaji na maoni

Maoni 886

Vipengele vipya

- Kurekebishwa kwa hitilafu na maboresho ya utendaji