Wekea Pixel yako mapendeleo kwa kugusa mara moja. Fungua papo hapo mwonekano mpya kabisa unaosasisha mandhari, aikoni, sauti, GIF na zaidi kwa kutumia vifurushi vya mandhari ya kimsimu.
Kikumbusho: Vifurushi vya mandhari vinahitaji sasisho la mfumo la Novemba. Ili uvifikie, bonyeza tu nafasi yoyote tupu kwa muda mrefu kwenye Skrini ya kwanza kisha uchague "Mandhari na mtindo."
Ilisasishwa tarehe
20 Nov 2025