Gmail

Ina matangazo
4.2
Maoni 13.3M
10B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Programu rasmi ya Gmail inakuletea vipengele bora vya Gmail kwenye kishikwambi au simu yako ya Android, ikiwa na usalama thabiti, arifa za wakati halisi, uwezo wa kutumia akaunti nyingi na wa kutafuta katika barua pepe zako zote. Gmail inapatikana pia kwenye Wear OS kwa hivyo unaweza kuendelea kuongeza tija na kudhibiti barua pepe moja kwa moja kupitia saa yako ya mkononi.

Ukiwa na programu ya Gmail, unaweza:
• Kuzuia kiotomatiki zaidi ya asilimia 99.9 ya barua pepe taka, za wizi wa data binafsi, programu hasidi na viungo hatari ili visiwahi kufika kwenye kikasha chako
• Kutendua utumaji ili uepuke makosa yanayoaibisha
• Kuwasha Google Chat ili ubuni, uwasiliane na ushirikiane na wengine
• Kutekeleza majukumu mengi zaidi kama kikundi kwenye Vyumba - sehemu maalum ya kupanga watu, mada na miradi
• Kufurahia kupiga simu za video za ubora wa juu ukitumia Google Meet
• Kujibu barua pepe kwa haraka ukitumia mapendekezo ya kipengele cha Majibu ya Haraka
• Kubadilisha kati ya akaunti nyingi
• Kuambatisha na kushiriki faili kwa urahisi
• Kupata arifa kuhusu barua pepe mpya kwa haraka kupitia kituo cha arifa, beji na chaguo za wakati skrini imefungwa
• Kutafuta barua pepe zako haraka huku ukipata matokeo ya papo hapo, utabiri unapoendelea kuandika na mapendekezo ya tahajia.
• Kupanga barua pepe zako kwa kuweka lebo, kutia nyota, kufuta na kuripoti taka
• Kutelezesha kidole ili ufute au uweke barua pepe kwenye kumbukumbu, ili usafishe kikasha chako haraka
• Kusoma barua pepe zako zikiwa zimepangwa kwa mazungumzo
• Kukamilisha majina ya watu unaowasiliana nao kiotomatiki kutoka kwenye anwani zako za Google au simu yako kadiri unavyoandika
• Kujibu mialiko ya Kalenda ya Google moja kwa moja kwenye programu
• Kuweka kigae na madoido ya Gmail kwenye saa yako inayotumia mfumo wa Wear OS ili upate muhtasari wa haraka wa barua pepe zako

Gmail ni sehemu ya Google Workspace, hali hii inakuwezesha wewe na timu yako kuwasiliana, kubuni na kushirikiana kwa urahisi. Unaweza:
• Kuwasiliana na wafanyakazi wenzako kupitia Google Meet au Google Chat, kutuma mwaliko kwenye Kalenda, kuongeza kitendo kwenye orodha yako ya majukumu na zaidi bila kuondoka kwenye Gmail
• Kutumia vitendo vinavyopendekezwa, kama vile Majibu ya Haraka, Kipengele cha Utungaji Mahiri, mapendekezo ya sarufi na udokezaji, ili kukusaidia kufanikisha kazi yako na kushughulikia majukumu mepesi, ili uweze kutumia muda wako kwa ufanisi
• Kuwa salama. Mifumo yetu ya mashine kujifunza huzuia zaidi ya asilimia 99.9 ya barua pepe taka, za wizi wa data binafsi na programu hasidi zisifikie watumiaji wetu

Pata maelezo zaidi kuhusu Google Workspace: https://workspace.google.com/products/gmail/

Tufuatilie ili upate maelezo zaidi:
Twitter: https://twitter.com/googleworkspace
LinkedIn: https://www.linkedin.com/showcase/googleworkspace
Facebook: https://www.facebook.com/googleworkspace/
Ilisasishwa tarehe
29 Okt 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine10
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.1
Maoni 12.8M
Bilali Abdi Ally
18 Januari 2024
Knowlege
Watu 21 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Usina Omary
14 Februari 2024
Happy
Watu 16 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Nyongesa Wafula
2 Oktoba 2024
Iko sawa
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

Fanikisha kazi zako unazozipa kipaumbele kwa kutumia Gmail, ambayo ni sehemu ya Google Workspace Ukiwa na msingi wa huduma salama ya barua pepe, unaweza pia kupiga gumzo, kushirikiana na kikundi kwenye vyumba au kupiga simu za sauti au za video, yote katika sehemu moja.