Hariri picha kwa kuchora tu ukitumia Nano Banana
Sasa unaweza kuiambia Gemini mahali na jinsi ya kutumia mabadiliko yako kwa kuchora au kuweka maelezo kwenye picha zako moja kwa moja katika programu ya Gemini, hali inayorahisisha kupata mwonekano wa mwisho unaotaka.